Bunge Laahirishwa Wabunge Kutoka Mbio Bungeni (Video)

Leo, Jumanne, Juni 27, 2023, Bunge limeahirishwa kwa muda baada ya kengele ya tahadhari kulia, ikimaanisha kuwepo kwa tishio. Saa 3:50 asubuhi, wakati wabunge walikuwa katika kipindi cha maswali na majibu, kengele ililia na Spika akaamuru shughuli za Bunge ziahirishwe. RELATED: Diamond Platnumz – Yatapita (Prod. Lizer) Spika alitoa tangazo: “Waheshimiwa wabunge, sauti hiyo inaashiria tunapaswa […]



from citiMuzik https://ift.tt/34LWzpS

Post a Comment

Previous Post Next Post